Mwanaume Kumpata Mwanamke Kimapenzi Ni Ujanja au Kaonewa Huruma tu

Mwanaume Kumpata Mwanamke Kimapenzi Ni Ujanja au Kaonewa Huruma tu

Ujanja wa mwnaume hua unachangia tu ila sio sababu kamili ya mwanamke kukubali au kukataa.Ningekua sijachoka ningejibu kwa kirefu...mida!

Maujanja bila mbumba sio issue pia. Wanaangalia faida pia.
 
Mimi binafsi siamini kama ni suala la huruma au tricks,nachoamini mimi ni hisia ndizo zinacontroll mahusiano hivyo mwanamke anapomkubali mwanaume kiukweli anakuwa ameanza kuwa na hisia nae na si vinginevyo.sasa wewe njoo na tricks zako halafu umkute mwanamke hana hisia kabisa juu yako hakyanani utaimba haleluya ila kwa mapenzi ya siku hizi unaweza kukubaliwa tu ili uchunwe mwisho wa siku adabu ikukae!huku wee ukijiona mjanja kwa tricks zako!
...Naweza kukubaliana na wewe kwa kiasi fulani. Niliwahi kumtongoza mdada ambaye tulikuwa tukikutana karibu lika siku kituo cha dalax2. Kadri siku zilivyozidi kwenda nikajikuta napata hisia na hasa kuanzia muenekano wake wa nje. Kuna siku nilimkabili na kumueleza..Kilichofata hapo nitarudi baadae. Lakini pia licha ya hizo hisia inategemea unamu-approach vipi. Hii ina nafasi sana ku-determine kufanikiwa au kutoswa!!!
 
mimi nadhani ni uamuzi wa mwanamke binafsi na wala si maneno yako unayo mwambi labda pesa inaweza changia lakini otherwise ni yeye kuamua tu
 
Mwanaume ana uwezo wa kumpata mwanamke teyote anayemtaka bila kujali umri, kipato, muonekano n.k! Hii inawezekana kama huyo mwanaume ataweza kuteka hisia za mwanamke! Na kuna tricks nyingi sana za kuteka hisia za mwanamke. Kwa maana hiyo kuna wale ambao hutegemea huruma ya mwanamke na pia wapo wale wanaoijua 'sanaa' hii ya kutongoza, na mara nying wale wanatumia 'sanaa' huwa wanashinda kuliko wale wanaosubiria huruma!
 
sijui ni kwa nini, but i always dont agree with this and i will neva do, u may have the tripple Cs as u call them, lakini kama moyo hautaki mapenzi yatakua impossible au ya kawa hayana raha especially kwa wale ambao hawako after such things...moyo huwa unasikilizwa zaidi kwenye real love



Wanawake wa siku hizi asilimia kubwa hawajui kukataa na hasa unapokuwa na tripple C. Namaanisha
1. Cash
2. Car na
3. Cellular Phone.
 
turidhike na tulio nao wal sio leo hapa kesho hapa maana naona mnabidili maada na kuanzisha vitu vingine tofauti kabisa
 
Kaizimikia avatar yupo tayari kutuma posa duh!
 
Back
Top Bottom