Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Mpaka keshoHahahaa alijuta sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka keshoHahahaa alijuta sio?
Ukowapi...😋Nitakupa namba akujuze kilichompata
Kwa Mama kizimkaziUkowapi...😋
Hawa vijana wa miaka hii series za Kikorea na Kifilipino zimewaharibu sana.Yani wewe kila siku utakua wa kumpa maneno mazuri na kumuelewesha kila? Utakua unalala umechoka sana na yeye atakuchoka
Shusha makofi mawili mazito mashavuni alafu tulia
Hivi kuishi nao kwa akili ndio kupoje?Biblia Takatifu inatuambia tuishi nao kwa kutumia akili. soma 1.Petro 3.7 Kadhalika enyi wanaume. Kaeni na wake zenu kwa akili: na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu:
Nb. Amani na upendo vikae nanyi siku zote.
View attachment 3056741
Kelsea mi nakupiga kama ni polisi unipeleke na najua itakuwa ni bonge la issue ila nitatoka na maisha yataendelea na utanipenda zaidi kuliko.Sijui kama nitaweza kuendelea kumpenda mwanaume baada ya kunipiga. Kama anaona hanielewi ni kheri aniache ila sio kipigo. Yeye akikosea huwa anapigwa? Sio poa, ni bora kuachana.
sisi wa tarime tunasoma comments tu kisha tunashangaaWakati mwingine ni kweli wanakuwa na maneno ya kuudhi au kwa lugha nyingine unaweza kusema wana mdomo,
Kamwe huwezi kumbadilisha mwanamke tabia kwa kipigo, ni mtu mzima amelelewa kwao na wewe umelelewa kwenu mmekutana ukubwani, kila mtu na tabia yake.
Tafuta njia mbadala ya kukaa naye na kuzungumza kwa upendo, ni mtu mzima atakuelewa japo wapo ambao ni pasua kichwa, hawasikii wala hawaelewi, utapiga utaua bure.
Mwanake siyo mtoto mdogo eti umbadilishe tabia kwa kipigo, akiamua kutulia atatulia mwenyewe, tumia hekima na busara badala ya kipigo.
Mpende, mjali, mdekeze pale inapobidi na kumheshimu, mpige kwa maneno mazuri mf. wewe ni mwanamke mrembo kliko wote Duniani, msifie, mtamkie neno nakupenda mara kwa mara.
Biblia Takatifu inatuambia tuishi nao kwa kutumia akili. soma 1.Petro 3.7 Kadhalika enyi wanaume. Kaeni na wake zenu kwa akili: na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu:
Nb. Amani na upendo vikae nanyi siku zote.
View attachment 3056741