Mwanaume kumpiga mwanamke ni ishara ya udhaifu

Yani wewe kila siku utakua wa kumpa maneno mazuri na kumuelewesha kila? Utakua unalala umechoka sana na yeye atakuchoka

Shusha makofi mawili mazito mashavuni alafu tulia
Hawa vijana wa miaka hii series za Kikorea na Kifilipino zimewaharibu sana.

Wamekuwa wajinga sana wa mapenzi ndio hawa wa kujilizaliza kwa wanawake na kuwapigia goti wakati wa kuwavalisha pete ya uchumba

Mwanamke ni kama mtoto na mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hii hawatafundishwa popote
 
Sijui kama nitaweza kuendelea kumpenda mwanaume baada ya kunipiga. Kama anaona hanielewi ni kheri aniache ila sio kipigo. Yeye akikosea huwa anapigwa? Sio poa, ni bora kuachana.
 
Biblia Takatifu inatuambia tuishi nao kwa kutumia akili. soma 1.Petro 3.7 Kadhalika enyi wanaume. Kaeni na wake zenu kwa akili: na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu:

Nb. Amani na upendo vikae nanyi siku zote.

View attachment 3056741
Hivi kuishi nao kwa akili ndio kupoje?

Je kuongeza mke mwingine ni akili?
Je kuwa na Plan B (nyumba ndogo) ni matumizi sahihi ya akili?
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nyie nyieee bila vikerbu ,na makofi mawili matatu ya mgongo unafikiri mambo yataenda? Hivi mnajua uchungu wa " kama wewe mwanaume kweli niguse mnaujuaaa"
 
Sijui kama nitaweza kuendelea kumpenda mwanaume baada ya kunipiga. Kama anaona hanielewi ni kheri aniache ila sio kipigo. Yeye akikosea huwa anapigwa? Sio poa, ni bora kuachana.
Kelsea mi nakupiga kama ni polisi unipeleke na najua itakuwa ni bonge la issue ila nitatoka na maisha yataendelea na utanipenda zaidi kuliko.
 
sisi wa tarime tunasoma comments tu kisha tunashangaa
Ebo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…