Mwanaume kumwita mwanaume mwenzio kwa herufi ya kwanza ya jina lake imekaaje?

Vipi kuhusu sisi tunaomwita JPM, na sisi tunajibebisha?
Tena sana. Sema Magufuli bwana huo ndio uanaume. Ya JPM waachie waandishi wa magazeti
 
Wanaoita hivyo mara nyingi wanakua wangese au hawana marinda
 
Tena sana. Sema Magufuli bwana huo ndio uanaume. Ya JPM waachie waandishi wa magazeti
Sawa mkuu, me jina ni Tadleignshante sasa marafiki zangu wanaliona refu ivyo basi hufupisha na kuniita Mr.T, je niwakataze wasijibebishe
 
Kama wanaume kuita jina kwa herufi moja ni kujibebisha kwahiyo na wanawake wakimuita mtu jina lake kwa kirefu, yaani jina kamili nao wanakua wanajifananisha na wanaume? nawaza tu teh! teh!
 
Sawa mkuu, me jina ni Tadleignshante sasa marafiki zangu wanaliona refu ivyo basi hufupisha na kuniita Mr.T, je niwakataze wasijibebishe
Waache kujibebisha bwana. Eti T, yaani picha ninayoipata ni hadi jicho limerembuliwa
 
Sorry umelikuta hilo Baba la mkoa gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…