Mwanaume kumwita mwanaume mwenzio kwa herufi ya kwanza ya jina lake imekaaje?

Binadamu hasa watanzania mnapenda kufanya maisha yawe magumu sana kwa kufuatilia vitu vya kijinga jinga mnooo. Sasa mtu kuitwa kwa herufi ya kwanza kunampunguzia nini anayeitwa au anayeita ?

Ujinga au ushoga upo ndani ya yule anayetafsiri hicho kitendo kwa mtazamo HASI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…