Mwanaume kumwita mwanaume mwenzio kwa herufi ya kwanza ya jina lake imekaaje?

Kuna mtu uku mtaani tunamuita 'BROTHER K' COZ jina lake linaanzia na K
Sasa we endelea kuhisihisi kila ulisikialo
Watu wenye akili kama zako mnaishi maisha ya tabu sana
Ondokana na stress ishi ujuavyo
Kama we ni mwanaume ni mwanaume tu, ata ukiigiza kama mwanamke mbele ya kadamnasi
Ila kama we ninpunga ni punga tu atakama ukijifanya mgumu
 
This is chitchat wapanick nini?
 
Bora hiyo. Mi kuna jamaa nilimpongeza kwa tukio fulani huko Facebook akanijibu "Thanks my"! Nilim mind sana hadi nikam block. Tunaelekea kubaya!
 
Wanawake punguzeni ubinafsi... Yaani vyetu vyenu, vyenu vyenu.. Mambo gani hayo sasa!

Btw, nilikuwa sijui kumbe mnaishiwa nguvu mkimuita mtu kwa jina lake kamili..
 
Hahahaaa. Mleta uzi ndio kaona sio.

Ila kwani kutamka neno zima kuna gharama gani au ndio Swaga?
Mkifika kwenye kulalamika kwa tunaoitwa jina kwa herufi kadhaa za mwanzo wa jina, mnishitue nimwage povu.
 
Inategemea. nina rafiki yangu ana jina refu la kilugha kulitaja kwa pamoja ni cumbersome,hivyo tangu nursery/vidudu tunamuita "K" sasa kwa maana yako basi kaka zake,sisi marafiki zke,wajomba wake,mzee wake ni mashoga??
Na dogo mwingine anaitwaga Karim jirani yetu ila hadi babaake anamuita "K" nae ni shoga??
 
It's quite strange!!! Mwanaume na midevu, kifua huko unamwita dume mwenzio 'G'!!!! Dadeki ni upunga huo.
 
Inategemea. nina rafiki yangu ana jina refu la kilugha kulitaja kwa pamoja ni cumbersome,hivyo tangu nursery/vidudu tunamuita "K" sasa kwa maana yako basi kaka zake,sisi marafiki zke,wajomba wake,mzee wake ni mashoga??
Na dogo mwingine anaitwaga Karim jirani yetu ila hadi babaake anamuita "K" nae ni shoga??
Huyo atakua ni "k" tu. Na kama hadi Zama hizi unamwita k na bado anaitika hakika huyo k haswaa!!!
 
Back
Top Bottom