There u rinategemea mtu umetoka vipi, the way ulivyotupia na upo mazingira gani.
Kimtaa mtaa sioni kama ni tatizo, but kuna maeneo ambayo hata mi siwezi kutafuna hivi vidude, unakuta mtu katupia vizuri kigentleman kama pengine suti kabisa halafu anapuliza puliza big G aaaagggrrrr...!!!
uko kwenye ofisi ya watu mfano bank halafu man anafanya huu ujing* sio yani..
hizo mambo ni za kufanya ki home home huko.
Kwa kua huna sababu ya msingi basi hizo ni chuki zisizo na msingi.Hahaha sina mimba mwenzenu[emoji28][emoji28]yaan sipend maana unamkuta mkaka mtanashati tu ila anatafuna bablish kibishoo aaaghhhhh chefuu
ni mazoea mabaya kwa kweli, but ndio hivyo binadamu hatufanani kimtazamo, mwingine hapo anaona poa tu kumbe ni utoto.There u r
Ss huyo mtu yaan appearance yake y ki gentleman kabs halafu tuko bank
Amevaa vizur kachomekea saafii ,nywele safi yaan kila kitu was on point sasa mdomonii arrggghh ndio kaharibu anatafuna hayo madudee[emoji54][emoji54]