Mwanaume kutafuna bublish

Mwanaume kutafuna bublish

tya02

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
850
Reaction score
1,061
Habari zenu !
mim mwenzenu sipendi kumuona mwanaume anatafuna bublish[emoji19][emoji19]yaan nikimuona nasikia kutapika
Bas hapa niko kwenye foleni kaja mkaka anaonekana smart lakin anatafuna bublish anavyoipuliza yaan hapa natama zam yangu ifike harak niondoke
Yaan mwanaume akishatafuna bublish tena hadhari haonekan gentleman at all,mm binafsi ninakushusha thaman kabisaaaa
 
Ha ha hapa nilipo natafuna Big G . kacheki vipimo labda una mimba
 
inategemea mtu umetoka vipi, the way ulivyotupia na upo mazingira gani.
Kimtaa mtaa sioni kama ni tatizo, but kuna maeneo ambayo hata mi siwezi kutafuna hivi vidude, unakuta mtu katupia vizuri kigentleman kama pengine suti kabisa halafu anapuliza puliza big G aaaagggrrrr...!!!
uko kwenye ofisi ya watu mfano bank halafu man anafanya huu ujing* sio yani..
hizo mambo ni za kufanya ki home home huko.
 
Mwanaume utaanzaje kupuliza bublish aseeh..kwangu upo sahihi bidada
 
Sababu ya msingi ya kumshusha. .??
Au una ujauzito? ?
Hahaha sina mimba mwenzenu[emoji28][emoji28]yaan sipend maana unamkuta mkaka mtanashati tu ila anatafuna bablish kibishoo aaaghhhhh chefuu
 
Ha ha hapa nilipo natafuna Big G . kacheki vipimo labda una mimba
Haha inategemea unaitafunaje
Maan kuna mwingne anatafuna kma anaweka mapozi hiv ili asionekane jins anavyotafuna yaan inakeraaa
 
inategemea mtu umetoka vipi, the way ulivyotupia na upo mazingira gani.
Kimtaa mtaa sioni kama ni tatizo, but kuna maeneo ambayo hata mi siwezi kutafuna hivi vidude, unakuta mtu katupia vizuri kigentleman kama pengine suti kabisa halafu anapuliza puliza big G aaaagggrrrr...!!!
uko kwenye ofisi ya watu mfano bank halafu man anafanya huu ujing* sio yani..
hizo mambo ni za kufanya ki home home huko.
There u r
Ss huyo mtu yaan appearance yake y ki gentleman kabs halafu tuko bank
Amevaa vizur kachomekea saafii ,nywele safi yaan kila kitu was on point sasa mdomonii arrggghh ndio kaharibu anatafuna hayo madudee[emoji54][emoji54]
 
Hahaha sina mimba mwenzenu[emoji28][emoji28]yaan sipend maana unamkuta mkaka mtanashati tu ila anatafuna bablish kibishoo aaaghhhhh chefuu
Kwa kua huna sababu ya msingi basi hizo ni chuki zisizo na msingi.
 
There u r
Ss huyo mtu yaan appearance yake y ki gentleman kabs halafu tuko bank
Amevaa vizur kachomekea saafii ,nywele safi yaan kila kitu was on point sasa mdomonii arrggghh ndio kaharibu anatafuna hayo madudee[emoji54][emoji54]
ni mazoea mabaya kwa kweli, but ndio hivyo binadamu hatufanani kimtazamo, mwingine hapo anaona poa tu kumbe ni utoto.
 
Kuna namna fulan yakuinga vitu vyakipumbavu kwenda huko utatafunane pablish kijana wa 20......years??????
 
Back
Top Bottom