Mwanaume kutamka "Kwio"[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]

super black

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
566
Reaction score
533
Ivi mwanaume mzima unaanzaje kutamka ili neno "KWIO"???


Mwenyewe apa naliwekea quotation Marks kulitamka kavu naona nongwa.

Mtakuja ombwa mpigwe pipe kisa kutamka tamka " KWIO"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…