super black
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 566
- 533
Ivi mwanaume mzima unaanzaje kutamka ili neno "KWIO"???
Mwenyewe apa naliwekea quotation Marks kulitamka kavu naona nongwa.
Mtakuja ombwa mpigwe pipe kisa kutamka tamka " KWIO"
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe apa naliwekea quotation Marks kulitamka kavu naona nongwa.
Mtakuja ombwa mpigwe pipe kisa kutamka tamka " KWIO"
Sent using Jamii Forums mobile app