Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Acha Nongwa bhana wee. LOLKuna classmate wangu hivi ana hizo pigo,,, utaona sms "mamb", mara tyyuu, mara sijui hehehehe! Kama kuna ishu ya msingi huwa nampigia, nikiona txt yake naona kichefuchefu, sijibu !
Mwanaume kabisa unatamka maneno haya? 😔
Hiyo ni sentesi moja, unamuuliza oyah! Mwana leo tunaenda wote kwenye ile ishu, anajibu, haya 😁Mbona wewe umeshatamka "haya" vipi mzima mwenzetu?
Wa TZ wamevurugwa na ugumu wa maisha. Ni wa kuwasamehe.Huwa najiuliza hivi uanaume ni nini maana inaonekana siku hizi uanaume siyo tu kuwa na jinsia ya kiume, kwamba kuna matendo ukiyafanya ghafla unakuwa mwanamke hata kama una jinsia ya kiume, halafu cha ajabu mengi ni matendo ambayo hayapunguzi chochote wala hayana uhusiano na jinsia
Wewe tuna kujua 😁Wa TZ wamevurugwa na ugumu wa maisha. Ni wa kuwasamehe.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app