Mwanaume kutokwa damu baada ya mapenzi

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Posts
7,036
Reaction score
9,331
Kuna rafiki yangu mmoja kanielezea tatizo kwamba yeye alifanya mapenzi, then alipoenda chooni kukojoa ikatoka damu kwenye mkojo, damu kabisa. kondomu alitumia, jamaa anashangaa kwamba ilikuwa ndiyo kwanza anataka kupata mshindo wa pili, lakini goli halikutoka na hivyo alivyoloose interest ndiyo akabanwa na mkojo, alipoenda chooni tu akakojoa damu ya kutosha. je hiyo inaweza kuwa ni tatizo gani?
 
Wewe unaenda kuvamia wanawake wa mjini hujala unategemea nini, yaani in short hat mshindo wa kwanza atakuwa alitoa povu tu
 
Kwa maelezo yako wewe ni mwanaume.
Una tatizo linaloitwa HAEMATURIA.Hali hii inaweza kutokea kwasababu ya
  • Infection au
  • Cancer (ya kibofu/korodani/mafigo) au
  • Matatizo/magonjwa kwenye korodani au
  • Matatizo kwenye mafigo
Nakushauri ukaonane na daktari haraka iwezekanavyo ili upate tiba kwasababu ni hali hatarishi kupata damu kwenye mkojo!Kila la kheri
 
pole .bwana, fuata ushauri hapo juu ...
 
Nenda kamcheki daktar kawe muwaz kwa kila swali utakaloulizwa na pia fuata ushauri wake utapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…