Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Kuna rafiki yangu mmoja kanielezea tatizo kwamba yeye alifanya mapenzi, then alipoenda chooni kukojoa ikatoka damu kwenye mkojo, damu kabisa. kondomu alitumia, jamaa anashangaa kwamba ilikuwa ndiyo kwanza anataka kupata mshindo wa pili, lakini goli halikutoka na hivyo alivyoloose interest ndiyo akabanwa na mkojo, alipoenda chooni tu akakojoa damu ya kutosha. je hiyo inaweza kuwa ni tatizo gani?