Mwanaume kuvaa shanga/cheni kiunoni ina maana gani?

chokambayaa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
546
Reaction score
69
Ninajamaa angu anaishangaza sana, akiwa na kideti na demu huwa anavaa shanga zile za kimasai na moja ya cheni kiunoni, nikamuuliza anavaa ili iweje

Nanukuu “''Ukimpiga demu ukiwa umevaa shanga ataenda kumpa story shost
wake naye atajilengesha aje kujionea naye unammega”'' Mwisho wa kunukuu

Ni kweli Kuna wanawake wanaopenda mwanaume anayevaa shanga?



 
Hujamgundua tu anagawa huyo... ndo wale sehemu zote zinafanya kazi..anajitangazia biashara kupitia kwa demu
 
Huyo jamaa yako analiwa nanihii...kama vipi mjaribu uone kama hakuonjeshi...
 
Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kufanya huo upuuzi.
huyo ana kasoro fulani lazima,sio bure.
 
Hujamgundua tu anagawa huyo... ndo wale sehemu zote zinafanya kazi..anajitangazia biashara kupitia kwa demu
Mbona mademu wanampapatikia sana
Maana jamaa kiwembe ile mbaya
 
Kweli hiyo kali yakufungia mwaka!Huyo sio mwanaume kamili...ana kasoro zake!
 
hii nilishawahi kusikia....ila naomba nihifadhi ni wanaume wa wapi......tuheshimiane
 
hii nilishawahi kusikia....ila naomba nihifadhi ni wanaume wa wapi......tuheshimiane

Bora umeamua kuvunja ukimya maana watu walianza kunizodoa
Wa wapi hao wanaume
Huyo jamaa angu ni wa pwani....kabila....sirini
 
siyo shanga tu mpaka mikanda ya suruali imetengenezwa kishangashanga

he he...sasa wewe ukiingiza ile mikanda kwenye hili kundi la chokambayaa itakuwa shida.....ile mikanda inaitwa ni ya kimasai na inauzwa sana kwenye soko la kitalii....hakuna curio shop utaenda uikose.....na hata guides wengi wa utalii wanaivaa.......
 
halina lolote bwabwa hiloooo!!

ijapo siwezi pia kushangaa maana wanawake wakati mwingine huwa wajinga sana, vitu vidogo kama hivyo huwafanya watake wakashangae na kuprove, na hilo huwa ni kosa kubwa sana kwao, ni kama vile zile stori flani ana uume mkubwa kweli basi wengine huja kushangaa au flani ni ******* nao huja kuprove ndipo jamaa huwapanga
 

Kinga anatumia? maana huo mpango unaongeza mtandao wa ngono!
 
Naishi na wanaume wenye akili kabisa -- Wamang'ati, na wao kuvaa shanga ni kawaida kabisaaaa, ila hawana lengo ikasimuliwe ila .......

Katika hii inji yenye makabila kibao si ajabu kuwa wengine wanavaa sababu hiyo ni part ya urembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…