Mwanaume kuvaa shanga/cheni kiunoni ina maana gani?

Mwanaume kuvaa shanga/cheni kiunoni ina maana gani?

mwanaume mwenye akili timamu hawezi kufanya huo upuuzi.
huyo ana kasoro fulani lazima,sio bure.

sasa Cheusi mbona mm nimeambiwa nivae chupi ya GF wangu ni halali? je shanga na chupi ipi afadhali? mm zote sikubali, is beyond manhood bana
 
Hilo la mwanaume kuvaa shanga sasa itakuwa unajitafutia kumegwa tu muangalie sana huyo jamaa yako anaweza jisifia wanawake wana mpapatikia kumbe ndio wanaomuunganisha kwa majamaa! ila jibu swali hili wewe ulimuonaje mwanaume mwenzio anashanga?
 
eheeeeeee haya sasa
 
Mambo mengine ni ngumu kuyaelewa. Labda ulikuwa upambo wakat wa jando za enzi za kale. Leo hii mwanaume ukifanya hivyo unaacha maswali mengi kuliko majibu.
 
Si mwajua wanaume wengi japo sii wote hupenda
kuelezea jinsi alivyommega demu, hivyo mimi
nilijua kuwa anavaa shanga baaada ya yeye kuelezea
kijuweni

Maana tulimuona na demu mmoja tukamuuliza kampataje
Kasema alishobokea shanga zake baada ya kuambiwa na shogae
Mabo hayo........
 
Ngoja aje Heaven on Earth atakujibu, yeye ni mtaaalamu katika anga hizi.
 
By Nicksixyo
Watakuja wenye shanga watakweleza wanapenda zichezeweje...Na huwa wanasikia ladha gani.Stay tuned dude!!:A S 576:

Haya ngoja niwasubiri!
Kiuno ni kiungo ambayo nyonga ya mwanamke ipo na sehemu hyo iko vry sensitive an erotic so mwanaume wastahili kuzichezea zle shanga kama wazihesabu vle huku ukimkuna bi dada.nakuvaa shanga c uhuni ni chachandu tuu.mi hua huzivua afta shuguli mana naogopa zcje mwagika mbele ya kadamnasi mamaweeee ni noma nshawai mwona mmama kwenye daladala zlimwagika mhhh nilimwonea huruma kwelii
 
Asubuhi ya leo Nilikuwa mitaa ya mwananyamala kwenye mishemishe za Jumamosi hii, basi nikakaa bar moja maarufu iko karibu kabisa na MK ili japo nipoze koo
Baada ya muda nikaenda msalani kupunguza vilivyozidi kwa mshangao wangu nimekutana na dume lina shanga zisizopungua tano rangi tofauti, kwakweli nilishikwa na mshangao mpaka akanisonya , Nimemaliza mambo yangu natoka naliona hiloo linapanda daladala ya Mabibo. Jamani hii imekaaje au jamaa junya nini au kavaa kama urembo?
 
Hilo Lonjo zoefu, kwani vipi .? Unaskitika labda ulisahau kuliomba No za simu au?
Au haukuli hayo makitu!
 
Hilo Lonjo zoefu, kwani vipi .? Unaskitika labda ulisahau kuliomba No za simu au?
Au haukuli hayo makitu!

Wee wee ile makitu mbaya haifai kabisa (japo tam)hata shetani mwenyewe akikuona unafanya ile kitu anakimbia
 
Wee wee ile makitu mbaya haifai kabisa (japo tam)hata shetani mwenyewe akikuona unafanya ile kitu anakimbia

Si unakula mara 1 haurudii !
Unafikiri ukiamua kukula then ukatuambia , hakuna jukwaa linalofichaga siri za wadau wake kama Chtcht.
Tutakufichia siri.
 
Si unakula mara 1 haurudii !
Unafikiri ukiamua kukula then ukatuambia , hakuna jukwaa linalofichaga siri za wadau wake kama Chtcht.
Tutakufichia siri.

Aah wp...! Nasikia nisawa na kula nyama ya binadamu ukianza huachi
 
Hilo Lonjo zoefu, kwani vipi .? Unaskitika labda ulisahau kuliomba No za simu au?
Au haukuli hayo makitu!

Cpati picha umeliinamisha janadume na mishanga yake Loh huku dushe limening'inia kweli ni noouma though it worth trying...!
 
Back
Top Bottom