Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe si kila anayevaa suruali ni mwanaume halaaNinajamaa angu anaishangaza sana, akiwa na kideti na demu huwa anavaa shanga zile za kimasai na moja ya cheni kiunoni, nikamuuliza anavaa ili iweje
Nanukuu ''Ukimpiga demu ukiwa umevaa shanga ataenda kumpa story shost
wake naye atajilengesha aje kujionea naye unammega'' Mwisho wa kunukuu
Ni kweli Kuna wanawake wanaopenda mwanaume anayevaa shanga?
View attachment 405526
Taborahii nilishawahi kusikia....ila naomba nihifadhi ni wanaume wa wapi......tuheshimiane
Nasikia dasalam wapo kibaoSijawahi kuona mwanaume kavaa
Nenda maeneo yao ukawaone, kwqni ukiskia Dar unadhani ndio kila sehemuNasikia dasalam wapo kibao
Story tu hizi. Hakuna mwanaume anayevaa shanga.Ninajamaa angu anaishangaza sana, akiwa na kideti na demu huwa anavaa shanga zile za kimasai na moja ya cheni kiunoni, nikamuuliza anavaa ili iweje
Nanukuu ''Ukimpiga demu ukiwa umevaa shanga ataenda kumpa story shost
wake naye atajilengesha aje kujionea naye unammega'' Mwisho wa kunukuu
Ni kweli Kuna wanawake wanaopenda mwanaume anayevaa shanga?
View attachment 405526
Ndiyo Ukweli WenyeweMwanaume mwenye akili timamu hawezi kufanya huo upuuzi.
huyo ana kasoro fulani lazima,sio bure.