Sisa Og
JF-Expert Member
- Apr 18, 2024
- 201
- 504
Habari zenu?
Niende kwenye mada!
Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza sifa sana. Yaani ni kama hatujui thamani yetu. Haya ni mambo matatu ambayo tunayafanya daily na yanaharibu psychology ya mwanaume:
*Kusikiliza nyimbo laini
Hizi ni nyimbo ambazo zinahusu mada za kuonesha udhaifu au kuamsha hisia laini. Mfano, hizi nyimbo za hadithi za sikununu. Nyimbo fulani zinaonesha jinsi gani mwanaume anahitaji sana mwanamke ili akamilike. Na wasanii huonesha ni bora kufa kabisa ikiwa mwanamke atakuacha. Kuna nyingine nilisikia jamaa anasikiliza inasema "... bora nikose pesa mali,..nifanye kazi bila salali ila niwe nawe"
Hapa tunaenda kuzalisha wanaume ambao kutwa wanahimizana kutafuta pesa ili wapate mpenzi, au wanaume ambao ni nice man na hawataweza kufanya chochote bila mwanamke sababu sioni msimamo na energy ya mwanaume na inaonekana jukumu la kupenda ni la mwanaume. Kuonesha kuwa kupata mwanamke ni jambo la thamani sana kuliko maisha yake mwenyewe. Kazi za sanaa zina mchango katika kujenga au kubomoa jamii. Ni nyimbo hizo hizo ndo zilifanya watu waamini hakuna kama mama.
*Kuvaa Jezi au T shirt za wasanii
Hii inaeleweka vyema kabisa. Katika uchunguzi wangu wa kawaida nimegundua, kila masikini au regular people ndo tunatumika kama chambo kukuza au kutangaza popular people. Mfano, kuna jamaa yangu alikuja kunitembelea akaniambia watoto wa mtaani kwako wameniita shetani. Akadai alipowauliza wakadai amevaa nguo ya shetani. Jamaa alikuwa amevaa T shirt yenye picha ya Lil Uzi. Wengi tunajua jinsi gani Lil Uz aliwahi kusema yeye na mashabiki zake wote wanamuabudu shetani. Jamaa sikumuelewesha maana niligundua hata hajui hata aliyemvaa ni nani. Unakuta jamaa amevaa T shirt imejaa logo za wafanyabishara kibao. Kataa kuwa wa kawaida. Mwanaume so mpaka uwe na magari ndo uheshimike ndo thamani yako ipande. Najua regular people mtapinga hii kwa nguvu. Ila hii inaonesha jinsi gani uko weak and easy influenced man.
*kuajiriwa Muda Mrefu
Kabla hujafa au kuzeeka mwanaume lazima uache sir name yako. Sasa mtu unaajiriwa una miaka 20's mpaka 60's. Kuajiriwa sio kitu kibaya lakini mwanaume inabidi umiliki mradi wako. Ajiri watu, ongoza watu, lipa watu. Siku moja familia za watu zijue mshahara tunaokula unatoka kwa Sisa Og. Sio kila siku we ni kuamka asubuhi na kurudi usiku, yaani unategemea mshahara na marupurupu na kuomba vikao vya posho. Mwanaume umezaliwa kuongoza, kumiliki na kuendeleza.
Kama kuna sehemu nimbolonga nisameheni tu, mimi sio Mungu.