smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,407
- 2,837
Hii inaukweli mwingi mkuu kwa kuwa huku mtu anapelekwa hospitali usiku kazidiwa anaambiwa asubiri mpaka asubuhi ndiyo apatiwe huduma kweli? Na unakuta hali ni mbaya so kwa nini usife?Africa sisi tabu tupu. Pia nilisikia asilimia kubwa ya vifo vya africa marehemu wangekua uzunguni wasingekufa