Mwanaume kuwa na sauti nyembamba

Mwanaume kuwa na sauti nyembamba

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Naomba kuja sababu mwanaume kuwa na sauti nyembamba kwa mtu mzima na matibu yake ni yapi.
Asante
 
Na sauti nene ina mzingo wa sentimita ngapi?
Hebu acheni kuwapa presha watoto wa wenzenu. Mara nanihii ndogo, mara sauti zimekonda! Kha!
 
Mambo mengine ya maumbile ni majaariwa ya Mungu.
Huna haja ya kuwa na mawazo juu ya hilo.
 
Back
Top Bottom