Mwanaume MACHO, Mwanamke MASIKIO

Malova

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2011
Posts
784
Reaction score
228
katika mahusiano ya kimapenzi, wanaume wanatawaliwa na mcho na wanawake wanatawaliwa na masikio. ndio maana hata katika hali ya kawaida anayeanza kutoa neno ni mwanaume na ina kuwa baada ya kuona. mwanamke hata kama akipenda pahala atafanya namna ambayo itamfanya yule anayempenda aanze kusema neno na yeye asikie lile neno tamu.
 
Mhhh napita tuu hapa nitarudi baada ya kutafakari huu ujumbe
 

vipi kuhusu mabubu? Hasa mwanaume bubu akikutana na mwanamke kiziwi?
 
mwanamke ni feelings.....zaidi.....

hata matendo ya mtu mwingine yakimpa feelings fulani tu...tayari..

kwenye harusi wengi huopolewa kirahisi,why?
harusi inawapa 'love feelings'....

Kumbe naweza kabisa ku infidelirise kwenye ma wedding ya watu eeh...............ok wacha niongeze juhudi ya kuchangia!
 
vipi kuhusu mabubu? Hasa mwanaume bubu akikutana na mwanamke kiziwi?
Dah!bro kwa situation hiyo hapo ni kumwachia mungu coz watazamaji mtapata majibu baada ya bidada mjamzito basi!
 
Asante mkuu ni kweli kbs dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…