Mwanaume MACHO, Mwanamke MASIKIO

Mwanaume MACHO, Mwanamke MASIKIO

mwanamke ni feelings.....zaidi.....

hata matendo ya mtu mwingine yakimpa feelings fulani tu...tayari..

kwenye harusi wengi huopolewa kirahisi,why?
harusi inawapa 'love feelings'....

tehe tehee umenikumbusha sana mbali da...
 
Ni kweli chief, tupo pamoja! Macho yakiona, moyo unapenda halafu mdomo unatamka then actions!
 
Back
Top Bottom