Mwanaume: Maumivu chini ya kitovu

Mwanaume: Maumivu chini ya kitovu

aminiusiamini

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
3,577
Reaction score
2,224
Wakuu,

Naomba mchango na mawazo yenu. Nina ndugu yangu mzee kidogo anasumbuliwa na maumivu chini ya kitovu. Wako wanasema ni ngiri lakini sio huwa inajitokeza mara nyingi akiwa kwenye sehemu ya baridi. Je,hii itakuwa ni ngiri kweli? Na tiba yake? Ameenda kwa wachina lakini wapi.

Ahsanteni.
 
ndio ngiri korodani moja linakuwa linaingia ndani kupata joto moja linabaki.hapo ndipo maumivu yanakuwepo.inabidi yaaingie yote kwa pamoja.kwa sababu kukiwa na baridi korodani huwa zinaingia ndani kupata joto la mwili.na kukiwa na joto unakuta pumbu inaning'nia nje.hivo tu.ngoja wataalam zaid waje
 
Back
Top Bottom