Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

Duuh.
 

Wee wasikimbie na maringo yao. Ebu kamatia mihela tuone
 
Ewaaaaaaa. Natumai mdogo wangu waeza kuja na bonge la ufariji kwao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Genetics inasema hivi.

Kama picha inavyojieleza hapo.

Ufupi au urefu unarithiwa kutoka kwa wazazi kutokana na genes walizonazo wazazi.

Tuangalie jinsi inavyorithiwa.
t= short(inakilishe sifa ya ufupi)
T=Tall(sifa ya urefu)

Kuna resessive na Dorminant

Ikiwa resessive(tt) itaonesha ufupi.

Ikiwa Dorminant(Tt, TT) itaonesha urefu.

Sasa kama mwanaume ni mfupi mwenye Ressessive genes(tt) akimuoa mwanamke wenye Dorminant genes(TT) watapata watoto wao wote ni warefu lakini watoto watarithi sifa ya ufupi(t) kutoka kwa baba yao(angalia picha)

Kama mwanaume mfupi mwenye Resessive genes(tt) akimuoa mwanamke mrefu akiwa na mchanganyiko wa dorminant na resessive gene (Tt) watazaa watoto wafupi na warefu ila wale warefu watakuwa na mchanganyiko wa sifa ya ufupi na urefu.(Tt) (angalia picha hapo juu)

Kwa hiyo sio kila mwanaume mfupi akioa mwamke mrefu watazaa watoto wafupi na kinyume chake ni sawa
 
Hahaaaaa. Nilisema tu haya Wafupi njoooni mfarijike jamaani lol.

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hahahaaa. Wanisamehe ninavyosema jinsi tabia zao zilivyo kwa baadhi yao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

wakusamehe nini mama ni wafupi wafupi tu kwani wewe ndio umewasasbabishia.
 
Mimi mke wangu ni mrefu alikuwa anapenda kuolewa na mwanaume mrefu matokeo yake kadondokea kwa mfupi
Na anakupenda kwelikweli.
Hahaaaaa. Nilisema tu haya Wafupi njoooni mfarijike jamaani lol.

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Embu ngoja ni make the subjet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…