Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

nina experience ya mademu warefu...wafupi...everage height

1-warefu hawa huwa maringo sana ..hawajui kujishusha ukipanda nao wanapanda tena ombea asiwe mrefu alafu mweupe utakoma vinakuwa na kiburi balaa

2-everage height hawa huwa wanamapenzi motomoto wanajua kujishusha wananyenyekea ila asiwe kimbaumbau yani everage height kimbaumbau hawa huwa kama wanavuta bangi vile leo kapoa kesho kawaka... alafu watata sana

3- wafupi hahaha hapa sasa kama unahitaji mapenzi kama yote utayapata hapa wanapenda...wananyenyekea..wanajitoa kwa kila kitu kwenye uhusiano tatizo kubwa ni wivu hivi vijitu bwana vina wivu balaaa alafu hawaachiki yaani ukitaka kung'ang'aniwa ww date na mfupi alafu akiwa mfupi alafu kibonge weeee hawa wakipenda hawajui kuachwa ving'ang'anizi balaa

conclusion kama unataka mahaba mahabani date demu mfupi they know nini maana ya mapenzi
 
Kwa wanaume sasa inakuaje
 
Kwa wanaume sasa inakuaje
Na wanaume
 
Na sie warefu comments zetu zinakaa hapa kwenye huu uzi au kuna sehemu nyingine?
 
Mkuu umetokea misitu ya kongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…