Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

Hahahaaa. Umeonaeee. Na kwa hili yajayo yanasikitisha.

Ila sitaki kuamini kama na weye ni andunje Swahiba.
Kuna muigizaji mmoja bongo movie anaitwa Tausi nilifurahi sana kumsikia nae anataka mwanaume mrefu

Kimo chàngu, wewe unanifikia unafikia usawa wa kifua
 
Mnaweza wote mkawa wafupi kama mbili kimo na mkaja kuzaa mtoto mrefu kama hashim thabit , anayebisha like hapa
 
Hahahaaa. Hujaliona Swali lenyewe kwani?

Au na weye mfupi nini?
Madam, kwani ufupi unaanzia ngapi na urefu unaanzia ngapi? Kwa sababu wapo wale wanaosema "Mimi ni mfupi kwako si kwa wengine".
 
elisany_and_tiny_boyfriend_by_lowerrider-d5vfd9s.jpg
Huyu kazidi
 
Back
Top Bottom