Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

Mwanaume mfupi kumuoa mwanamke mrefu

jamani hii aikwepeki nina ushaidi sana juu ya hili jambo yani wanawake wengi warefu wameolewa na wanaume wafupi mno, nina dada mmoja namfahamu ni mrefu kama mke wa obama aongezeke kidogo yan kaolewa na mwanaume mfupiiii sana sasa nyie wanawake ambao mnachagua nyie subirini tu mtashangaa mtazeekea nyumbani
 
Sema wanawake warefu wananikera kitu kimoja [emoji31][emoji31][emoji31]wote niliokutana naowanamapango hayo

Wanawake warefu mnisamehe bure [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ni kweli kwan mtu anavyozidi kurefuka ndio ivo pango extend but short wanawake have very tight hadi unainjoi
 
Nimejaribu kusikiliza story nyingi za wanawake warefu wanasema "sitaki kuolewa na mwaume mfupi"[emoji16] [emoji16] inamaana wafupi kwa wafupi na warefu kwa warefu Au Mwanaume mrefu kwa mwanamke mfupi.

Sasa sisi wanaume wafupi tukioa tena wanawake wafupi tutazaa kitu gani?
Mtazaa mdoli
 
Umeona braza..huyo jamaa wanamkataa kwa sababu Hana mihela...ukiwa na mihela mbona unajigegedea mrembo mrefu utakae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji151] [emoji151] [emoji151] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] kwa kuwa na wewe Kaka ni mfupi naomba nirudie kuomba samahani kwa kweli [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ila Duuh! Sitaki kuamini kwa kweli lol.

Atakupa picha soon.
 
Mwanamke mrefu akivaa gauni nyekundu anakuwa kama Pili Pili mbuzi vile

halafu wanawake warefu wanagubu hao, hawajui kupenda hata kazi lawama tuuu

Halafu wanawake warefu huwa wana naniliu nyembamba sanaaa na ndefuu
 
Nimejaribu kusikiliza story nyingi za wanawake warefu wanasema "sitaki kuolewa na mwaume mfupi"[emoji16] [emoji16] inamaana wafupi kwa wafupi na warefu kwa warefu Au Mwanaume mrefu kwa mwanamke mfupi.

Sasa sisi wanaume wafupi tukioa tena wanawake wafupi tutazaa kitu gani?
Ufupi na urefu ni maumbile tu true love ipo ndani yamtu I love my Me too
 
Mwanamke mfupi anajua kupenda balaa, na wana mapenzi ya kweli

Halafu mwanamke mfupi akivaa gauni jekundu utadhani mtungi wa gesi wa ORYX........
Wanawake wafupi sio kujua mapenzi tu wanajua kuganda mtu hatari upumui yani
 
Nimejaribu kusikiliza story nyingi za wanawake warefu wanasema "sitaki kuolewa na mwaume mfupi"[emoji16] [emoji16] inamaana wafupi kwa wafupi na warefu kwa warefu Au Mwanaume mrefu kwa mwanamke mfupi.

Sasa sisi wanaume wafupi tukioa tena wanawake wafupi tutazaa kitu gani?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom