Honestgirl
JF-Expert Member
- Jun 9, 2018
- 210
- 126
Mwenywe watanisamehe tu co kama nakosoa kazi ya mungu but mwanaume mfup mm Hapana kusema la ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] hayo matus bhanaMwanamke mfupi anajua kupenda balaa, na wana mapenzi ya kweli
Halafu mwanamke mfupi akivaa gauni jekundu utadhani mtungi wa gesi wa ORYX........
Mwenywe watanisamehe tu co kama nakosoa kazi ya mungu but mwanaume mfup mm Hapana kusema la ukweli
Hata awe na pesa mm hapana na ofcoz cpend mwanaume kwa ajili ya pesaAcha uonevu na ww, akiwa na pesa hapo walaaa
We unapenda mwanaume kwan ajili ya nnHata awe na pesa mm hapana na ofcoz cpend mwanaume kwa ajili ya pesa
Sio pesaSio pesa?
HahahaNimejaribu kusikiliza story nyingi za wanawake warefu wanasema "sitaki kuolewa na mwaume mfupi"[emoji16] [emoji16] inamaana wafupi kwa wafupi na warefu kwa warefu Au Mwanaume mrefu kwa mwanamke mfupi.
Sasa sisi wanaume wafupi tukioa tena wanawake wafupi tutazaa kitu gani?
Ngoja nitafute pesa
mbona unacheka mkuuHahaha