Mwanaume miaka 36 natafuta mke

Mwanaume miaka 36 natafuta mke

Trunk

Member
Joined
Dec 7, 2021
Posts
63
Reaction score
114
Kuhusu Mimi,

Miaka 36
Mkristo
Mwajiriwa wa serikali
Shahada ya uzamili
Urefu 175cm,
Uzito 66Kg

Ninaye mtafuta
-Umri 28 mpaka 38
-Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo.
-Akiwa na mtoto siyo mbaya .
 
Nakuombea kila la heri upate ubavu wa nafsi yako.. kutafuta mke sio kazi ndogo hasa ukiwa nje ya mazingira yenye ke wengi kama vyuoni
 
Kuhusu Mimi,

Miaka 36
Mkristo
Mwajiriwa wa serikali
Shahada ya uzamili
Urefu 175cm,
Uzito 66Kg

Ninaye mtafuta
-Umri 28 mpaka 38
-Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo.
-Akiwa na mtoto siyo mbaya .
Nipo hapa karibu sana
 
Kuhusu Mimi,

Miaka 36
Mkristo
Mwajiriwa wa serikali
Shahada ya uzamili
Urefu 175cm,
Uzito 66Kg

Ninaye mtafuta
-Umri 28 mpaka 38
-Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo.
-Akiwa na mtoto siyo mbaya .
Sawa.
 
Kuhusu Mimi,

Miaka 36
Mkristo
Mwajiriwa wa serikali
Shahada ya uzamili
Urefu 175cm,
Uzito 66Kg

Ninaye mtafuta
-Umri 28 mpaka 38
-Dini yoyote lakini awe tayari kuwa mkristo.
-Akiwa na mtoto siyo mbaya .

Umeshampata?
 
Umeshampata?
Maswali kama haya unatakiwa ukaulize pm bhana!

Mbona wanawake mnakosa waume bora wa kuwaoa kirahisi hivi! Mimi nimewakaribisha mara kibao tu pm, hamtaki kuja! Aaarghh 🥵
 
Back
Top Bottom