Mwanaume mmoja ajipatia zaidi ya TSh. bilioni 6 kwa kuuza maji fake ya zamzam

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
1737023026603.png
Mwanaume mmoja Raia wa Nchini Uturuki anayefahamika kwa jina la Mehmet Bilal C, amepata dola milioni 2.5 ambazo ni sawa na bilioni 6.3 za Kitanzania ndani ya miezi mitano kwa kuuza maji feki ya Zamzam, bidhaa inayoheshimiwa sana na Waislamu duniani kote.

1737022698097.png
Mshukiwa alidai alichanganya maji halisi ya Zamzam, yaliyonunuliwa kutoka kwa magari yaliyokuwa yakiwasili kutoka Saudi Arabia, na maji ya bomba kwenye kituo chake.

Mamlaka ilivamia kituo hicho, na kufichua tani 15 (lita 15,000) za maji ya bomba ya kawaida yaliyopakiwa kwenye makontena yenye lebo ghushi ikidai kuwa bidhaa hiyo ni maji halisi ya Zamzam kutoka Saudi Arabia.
1737022861715.png
Lebo ghushi, zilitengenezwa ili kuwaaminisha watumiaji, zilijumuisha maandishi ya Kiarabu na marejeleo ya Saudi Arabia, chanzo cha maji ya Zamzam, ambayo ina umuhimu wa kidini kwa Waislamu.
1737022897219.png
Mahitaji ya maji ya Zamzam nchini Uturuki yanahitajika sana hasa wakati wa hafla za kidini kama vile Ramadhani, chupa zinapatikana kwa wingi katika masoko na maduka nchini kote. Hata hivyo, kiwango cha usambazaji wa bidhaa ghushi bado hakijulikani.
1737023221115.png
Hata hivyo Mamlaka imefunga kituo hicho, na kuanzisha uchunguzi juu ya watu waliohusika ambapo mshukiwa alikiri kwamba maji mengi ya Zamzam yanayouzwa Uturuki, ikiwa ni pamoja na Istanbul, yalitoka kwenye ghala lake huko Adana, kusini mwa Uturuki.

==

Turkish authorities have exposed a massive counterfeit Zamzam water operation, seizing 15 tonnes of fake products and uncovering a scheme that earned its mastermind approximately $2.5 million in just five months.

The operation, based in a warehouse in Adana, Southern Turkey, reportedly produced 20 tonnes of counterfeit Zamzam water daily, generating an estimated revenue of 90 million Turkish lira ($2.5 million). Investigators revealed that the counterfeit water was sold widely, including in Istanbul, and bore labels falsely claiming it was authentic Zamzam water from Saudi Arabia.

The suspect, identified only as Bilal, confessed during interrogation that he had been running the operation for five months. He admitted that the counterfeit water sold across Turkey originated from his facility. Authorities raided the warehouse, discovering ordinary tap water packaged in containers labeled as genuine Zamzam water.

Photographs from the raid showed stacks of bottles and larger containers, all designed to mimic the appearance of authentic Zamzam water. The counterfeit labels featured Arabic text and references to Saudi Arabia to deceive consumers, exploiting the religious significance of Zamzam water for Muslims.

Bilal admitted to mixing small quantities of genuine Zamzam water, sourced from vehicles arriving from Saudi Arabia, with tap water at his facility. He claimed that no customers had lodged complaints about the product before the raid.

The counterfeit water has been confiscated and will be destroyed. Authorities have sealed the facility and launched a broader investigation into others potentially involved in the operation.

Demand for Zamzam water (Holy water from Mecca) is particularly high in Turkey during religious periods like Ramadan, with bottles widely available in markets and stores. The extent of the counterfeit product's distribution remains unclear, raising concerns among consumers about its reach.

This scandal underscores the importance of vigilance in verifying the authenticity of products, especially those with cultural or religious significance.

Source: travelsdubai.com
 
Wamuachie tu jamaa,alikamatia fursa,kwanza mambo ya maji ya zamzam kwamba ni maji yenye baraka kutumia sijaona popote kwenye Quran yalipotajwa,ni shiriki tu , eti sheikh wangu Malaria 2
 
Mtume Muhammad (SAW) amesema:

"Maji ya Zamzam ni kwa kile yanachokusudiwa."
(Hadithi imepokelewa na Ibn Majah na Ahmad)
Hii inaonyesha kuwa maji haya yanaweza kuwa tiba, riziki, au baraka kulingana na nia ya mwenye kunywa.

2. Maji Bora Zaidi Duniani:
Ibn Abbas (RA) amesimulia kuwa Mtume (SAW) alisema:

"Maji bora duniani ni maji ya Zamzam; yana chakula kinachotosheleza na tiba ya ugonjwa."
(Hadithi imepokelewa na Tabarani
 
wapi yameandikwa kwenye Quran kuwa tuyatumie yana baraka!?ushirikina tu, jamaa wamuachie alikamatia fursa
Mhh kama kitu hauelewi, usikashifu. Si ukatafute nyuzi za dini yako ujibu au zmeisha?
 
Mwanaume mmoja Raia wa Nchini Uturuki anayefahamika kwa jina la Mehmet Bilal C, amepata dola milioni 2.5 ambazo ni sawa na bilioni 6.3 za Kitanzania ndani ya miezi mitano kwa kuuza maji feki ya Zamzam, bidhaa inayoheshimiwa sana na Waislamu duniani kote.

Mshukiwa alidai alichanganya maji halisi ya Zamzam, yaliyonunuliwa kutoka kwa magari yaliyokuwa yakiwasili kutoka Saudi Arabia, na maji ya bomba kwenye kituo chake.

Mamlaka ilivamia kituo hicho, na kufichua tani 15 (lita 15,000) za maji ya bomba ya kawaida yaliyopakiwa kwenye makontena yenye lebo ghushi ikidai kuwa bidhaa hiyo ni maji halisi ya Zamzam kutoka Saudi Arabia.
Lebo ghushi, zilitengenezwa ili kuwaaminisha watumiaji, zilijumuisha maandishi ya Kiarabu na marejeleo ya Saudi Arabia, chanzo cha maji ya Zamzam, ambayo ina umuhimu wa kidini kwa Waislamu.
Mahitaji ya maji ya Zamzam nchini Uturuki yanahitajika sana hasa wakati wa hafla za kidini kama vile Ramadhani, chupa zinapatikana kwa wingi katika masoko na maduka nchini kote. Hata hivyo, kiwango cha usambazaji wa bidhaa ghushi bado hakijulikani.
Hata hivyo Mamlaka imefunga kituo hicho, na kuanzisha uchunguzi juu ya watu waliohusika ambapo mshukiwa alikiri kwamba maji mengi ya Zamzam yanayouzwa Uturuki, ikiwa ni pamoja na Istanbul, yalitoka kwenye ghala lake huko Adana, kusini mwa Uturuki.

==

Turkish authorities have exposed a massive counterfeit Zamzam water operation, seizing 15 tonnes of fake products and uncovering a scheme that earned its mastermind approximately $2.5 million in just five months.

The operation, based in a warehouse in Adana, Southern Turkey, reportedly produced 20 tonnes of counterfeit Zamzam water daily, generating an estimated revenue of 90 million Turkish lira ($2.5 million). Investigators revealed that the counterfeit water was sold widely, including in Istanbul, and bore labels falsely claiming it was authentic Zamzam water from Saudi Arabia.

The suspect, identified only as Bilal, confessed during interrogation that he had been running the operation for five months. He admitted that the counterfeit water sold across Turkey originated from his facility. Authorities raided the warehouse, discovering ordinary tap water packaged in containers labeled as genuine Zamzam water.

Photographs from the raid showed stacks of bottles and larger containers, all designed to mimic the appearance of authentic Zamzam water. The counterfeit labels featured Arabic text and references to Saudi Arabia to deceive consumers, exploiting the religious significance of Zamzam water for Muslims.

Bilal admitted to mixing small quantities of genuine Zamzam water, sourced from vehicles arriving from Saudi Arabia, with tap water at his facility. He claimed that no customers had lodged complaints about the product before the raid.

The counterfeit water has been confiscated and will be destroyed. Authorities have sealed the facility and launched a broader investigation into others potentially involved in the operation.

Demand for Zamzam water (Holy water from Mecca) is particularly high in Turkey during religious periods like Ramadan, with bottles widely available in markets and stores. The extent of the counterfeit product's distribution remains unclear, raising concerns among consumers about its reach.

This scandal underscores the importance of vigilance in verifying the authenticity of products, especially those with cultural or religious significance.

Source: travelsdubai.com
Wapumbaf. Wameyapima hayafai kwa matumizi ya binadamu?
 
nilifikiri alikamatwa kariakoo,kidogo niwapongeze jeshi letu la polisi
 
Mkuu mimi ni muislam, hakuna aya ya Quran iliyotaja maji ya Zamzam yana baraka, ila kuna aya imetaja asali ni tiba kwa wanaadamu, nionyeshe aya iliyotaja maji ya Zamzam
Hujui misingi miwili ya uislam; Quran na Sunna.Na juu hapo huon Hadith?
Kalemba bana unazingua.
 
Kisima cha zamzam ni kama kimekauka kuna uchafu humo na kinatoa harufu na wasaudia wamekijengea nyumba so kimo ndani kama madness tu. Janja nyingi kuhadaa watu kwa jina la dini..

1737094464672.jpeg

1737094573458.jpeg
 
Wa mwachie tuu kama aliyachanganya na majia ya kawaida
 
Angel Nylon

Njoo utupe mwongozo hapa
Nilichokiona hapa jamaa kafanya udanganyifu na hadaa.
Kwa sababu kauza maji ambayo sio ya Zamzam km walivyokuwa wanajua wateja wake
Si unaona pato alilojipatia sihaba.
Kuhusu maji ya Zamzam kuwa na ubora sisi waislam huwa tuna refer kutoka hadithi ya Bibi Maryam mama wa Issa Alayh salaam, alivyokwisha kumzaa akawa hana chakula wala maji, ndipo alipopata muongozo kuwa utilise mti wa mtende na ale matunda yake, na karibu yake pia Mwenyezi Mungu Alijaalia kutokea kwa chemchem na akapewa muongozo anyway maji yake. Maji yenyewe ndio hayo Zamzam. Ambayo yalikuja kuenezwa katika mji wa makkah na mke wa mfalme mmoja wapo waliokuja kutawala baadae. Na ndio mpk Leo yanapatikana huko tu.
Labda km kuna wenye ujuzi zaidi wataongezea au watanikosoa
 
Back
Top Bottom