Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Interesting'.....maji halisi ya Zamzam kutoka Saudi Arabia....'
Kwahiyo kumbe isa bin Mariam ni mzawa wa makah yaan uarabun?Nilichokiona hapa jamaa kafanya udanganyifu na hadaa.
Kwa sababu kauza maji ambayo sio ya Zamzam km walivyokuwa wanajua wateja wake
Si unaona pato alilojipatia sihaba.
Kuhusu maji ya Zamzam kuwa na ubora sisi waislam huwa tuna refer kutoka hadithi ya Bibi Maryam mama wa Issa Alayh salaam, alivyokwisha kumzaa akawa hana chakula wala maji, ndipo alipopata muongozo kuwa utilise mti wa mtende na ale matunda yake, na karibu yake pia Mwenyezi Mungu Alijaalia kutokea kwa chemchem na akapewa muongozo anyway maji yake. Maji yenyewe ndio hayo Zamzam. Ambayo yalikuja kuenezwa katika mji wa makkah na mke wa mfalme mmoja wapo waliokuja kutawala baadae. Na ndio mpk Leo yanapatikana huko tu.
Labda km kuna wenye ujuzi zaidi wataongezea au watanikosoa
Kwahiyo kumbe isa bin Mariam ni mzawa wa makah yaan uarabun?
Ni IsmailKwahiyo kumbe isa bin Mariam ni mzawa wa makah yaan uarabun?