Mwanaume mpakistani anataka mke

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
1.Ana umri miaka 36
2.mwislamu
3.Yupo Dar ni injinia
4.Anataka mwanamke mtanzania kwa ajili ya kuishi nae kwa ndoa
5.Awe na umri 25-35
6.Ajue kiingereza
Huyo bwana nimekutana nae hapa mza alikuja kikazi na nikakutanishwa nae na rafiki yangu ambae anajua kuwa passion yangu ni kusaidia watu kuoana
 
Huyo anatafuta namna ya kuishi bongo. Walivyo wabaguzi, sina hamu. Hawa magabacholi hawafai hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…