Mwanaume mpende mke wako

Uzi ni mzuri unatukumbusha wajibu wetu hasa wanaume.
Moja ngependa kuwakumbusha wale ambao hawajaoa ya kwamba usizingatie kuoa yule ambaye ni mzuri kupita kiasi kama maumbo na uzuri wa sura...Uzi wa hapo juu utaona Ha maana kwako
 
Haya wanakuja Pm maana ndo lengo lako? Ila sasa bado haibadili chochote inabidi uwe na hela.
 
Umeandika kwa kujipendekeza kwa wanawake. Hata wao usiwaone hivyo wanaringaringa, wanawahitaji sana wanaume kuliko unavyofikiria. Idadi kubwa ya waenda kwa waganga na makanisani kuombewa ili wapate ndoa ni wanawake. Na wanawake wengi wanapenda maisha kitonga, hata kama hampendi mwanaume ata-pretend kupenda akiona amepata kilichompeleka kwenye hiyo ndoa ndipo mwanaume utafutiliwa mbali abaki na mali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…