EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Niongezee kwa mfano: mwanaume unakuta anaongea kabana pua, kuvaa mlegezo suruali, ni marufuku1.Kwani veepe
2.Umedamshi
3.Mamito, mammy
3.X=S
4.Sio kwa ku...... huko
5.Msiew (hata sikumbuki linaandikwaje)
6.inahusu
7.wacha weeeh
Pumbavuuuu hii waachieni dada zenu,, Acheni ujinga nyie wavulana mnatutia aibu
Ongeza misemo mingineView attachment 1297937
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kushinda kanisani mtaani hakukuhusuNiongezee kwa mfano: mwanaume unakuta anaongea kabana pua, kuvaa mlegezo suruali, ni marufuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Jomonii1.Kwani veepe
2.Umedamshi
3.Mamito, mammy
3.X=S
4.Sio kwa ku...... huko
5.Msiew (hata sikumbuki linaandikwaje)
6.inahusu
7.wacha weeeh
Pumbavuuuu hii waachieni dada zenu,, Acheni ujinga nyie wavulana mnatutia aibu
Ongeza misemo mingineView attachment 1297937
Sent using Jamii Forums mobile app
Niongezee kwa mfano: mwanaume unakuta anaongea kabana pua, kuvaa mlegezo suruali, ni marufuku
Sent using Jamii Forums mobile app
Yap haya pia yaani nkimsikia au kuona dume kaandika ivo nakerekaga saanaJomonii
Mmmmmmh
Maskini, nyie zambi
Chefuuuuuuuuuuuuu
Pambe tyu
π€£ π€£ π€£ π€£Chefuuuuuuuuuuuuu
Pambe tyu
ππππ€£ π€£ π€£ π€£
aisee
Hata mie tu kuyatumia naonaga aibu
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wanasema "mambo ni fire[emoji91][emoji91][emoji91]"Kuna hili nikiliona limeandikwa na mwanaume huwa nakereka.
wakiume unakomenti
"NI FIRE" na vi imoji vya Moto Moto Kama Mia nane
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wanasema "mambo ni fire[emoji91][emoji91][emoji91]"
Na pia mwanaume n mwiko kutoga skio, kutinda nyusi ...kupaka bleach... Kuvaa mlegezo na surual za kubana mapaja....huo sio uanaume1.Kwani veepe
2.Umedamshi
3.Mamito, mammy
3.X=S
4.Sio kwa ku...... huko
5.Msiew (hata sikumbuki linaandikwaje)
6.inahusu
7.wacha weeeh
Pumbavuuuu hii waachieni dada zenu,, Acheni ujinga nyie wavulana mnatutia aibu
Ongeza misemo mingineView attachment 1297937
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo misimamo yetu wanaume sasa tuwafunze wavulanaNa pia mwanaume n mwiko kutoga skio, kutinda nyusi ...kupaka bleach... Kuvaa mlegezo na surual za kubana mapaja....huo sio uanaume
Sent using Jamii Forums mobile app