google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Mwanaume wa kweli wala hafundishwi hayo yeye mwenyewe anajua hivi vitu si vyake na hawezi kutumia. Huyo wa kukatazwa tayari ni mchele mchele.1.Kwani veepe
2.Umedamshi
3.Mamito, mammy
3.X=S
4.Sio kwa ku...... huko
5.Msiew (hata sikumbuki linaandikwaje)
6.Inahusu
7.Wacha weeeh
8.Nouma
9.Jomoni
10.Tenaaaaaaaa
11.[emoji1305][emoji1305][emoji1305]haka kaemoji
Pumbavuuuu hii waachieni dada zenu,, Acheni ujinga nyie wavulana mnatutia aibu
Ongeza misemo mingineView attachment 1297937
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app