Mwanaume msemo hii mwiko

Mwanaume msemo hii mwiko

1.Kwani veepe
2.Umedamshi
3.Mamito, mammy
3.X=S
4.Sio kwa ku...... huko
5.Msiew (hata sikumbuki linaandikwaje)
6.Inahusu
7.Wacha weeeh
8.Nouma
9.Jomoni
10.Tenaaaaaaaa
11.[emoji1305][emoji1305][emoji1305]haka kaemoji
Pumbavuuuu hii waachieni dada zenu,, Acheni ujinga nyie wavulana mnatutia aibu

Ongeza misemo mingineView attachment 1297937

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume wa kweli wala hafundishwi hayo yeye mwenyewe anajua hivi vitu si vyake na hawezi kutumia. Huyo wa kukatazwa tayari ni mchele mchele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia mwanaume n mwiko kutoga skio, kutinda nyusi ...kupaka bleach... Kuvaa mlegezo na surual za kubana mapaja....huo sio uanaume

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hayo tu hata kuoga kila siku mwanaume haifai inatakiwa mpaka uanze kunuka kama beberu ivi ndio uanaume afu pia mwanaume ni kuwa na boxer moja tu kauaka nkuvae
 
Mwanaume anakuandikia sms anakwambia usiku mwema dear au baby unblock unafuta na namba kabisa.

Mtu kama huyu kama yuko karibu yako lazima umpandishe cheo.
1.Kwani veepe
2.Umedamshi
3.Mamito, mammy
3.X=S
4.Sio kwa ku...... huko
5.Msiew (hata sikumbuki linaandikwaje)
6.Inahusu
7.Wacha weeeh
8.Nouma
9.Jomoni
10.Tenaaaaaaaa
11.[emoji1305][emoji1305][emoji1305]haka kaemoji
Pumbavuuuu hii waachieni dada zenu,, Acheni ujinga nyie wavulana mnatutia aibu

Ongeza misemo mingineView attachment 1297937

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom