Naona umeamua kumsema Mshana JrHivi viiimoji [emoji85][emoji85][emoji85] mwisho 2019 ikifika 2020 hatutaki kuona wanaume wanavitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajabu ni kuwa maneno haya haya yanatumika kulia wake za watu.
Kweli dunia duara
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
wanaume wa dar maeneo ya kinondoni magomeni magomeni kuna mipunga na michele mingi hatari.1.Kwani veepe
2.Umedamshi
3.Mamito, mammy
3.X=S
4.Sio kwa ku...... huko
5.Msiew (hata sikumbuki linaandikwaje)
6.Inahusu
7.Wacha weeeh
8.Nouma
9.Jomoni
10.Tenaaaaaaaa
11.[emoji1305][emoji1305][emoji1305]haka kaemoji
Pumbavuuuu hii waachieni dada zenu,, Acheni ujinga nyie wavulana mnatutia aibu
Ongeza misemo mingineView attachment 1297937
Sent using Jamii Forums mobile app
Jua hapo anataka bomba kwenye bunyero.Kuna hili nikiliona limeandikwa na mwanaume huwa nakereka.
wakiume unakomenti
"NI FIRE" na vi imoji vya Moto Moto Kama Mia nane
Yente sijui ujinga gani nawaonaga wanaume wa Arusha kama wanaopenda mipasho kama dada zao wa dar.Ukija Arusha kuna ' woiiii, waiiii,chaaa
Akina nani tena[emoji2955][emoji848][emoji848]Na wanakuona mtanashati
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
[emoji2955][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] huko mi sipo aiseewanaume wa dar maeneo ya kinondoni magomeni magomeni kuna mipunga na michele mingi hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]Yente sijui ujinga gani nawaonaga wanaume wa Arusha kama wanaopenda mipasho kama dada zao wa dar.
Sent using Jamii Forums mobile app