Mwanaume mwenye nia

Mwanaume mwenye nia

Miaka imenikosesha mke

Hatuwezi kubagain jamani, mbona sisi wa chini ya hapo mnatutenga sasa!
 
Mm ni mwanamke wa kitanzania nimeajiriwa taasisi ya kiserikali lakini kutokana na kusoma nimechelewa kupata familia nahitaji mwanaume mwenye nia ya kuwa na mke asiwe mume wa mtu asiwe chini ya miaka 34 awe over 34 .asante

Kila la kheri Felista.
 
Hiyo ni changamoto! Bora uwe single mama kuliko kuendelea kusubiria ndoa ukiogopa aibu,
Mana unaelekea kwenye kukoma hedhi,
Mwanaume miaka 35 kwenda juu Hana mke hata maisha yake ni changamoto na Kama akiwa vizuri ujue huyo kiwembe kikali kuliko Cha mchina.
 
Mm ni mwanamke wa kitanzania nimeajiriwa taasisi ya kiserikali lakini kutokana na kusoma nimechelewa kupata familia nahitaji mwanaume mwenye nia ya kuwa na mke asiwe mume wa mtu asiwe chini ya miaka 34 awe over 34 .asante

Njoo PM, uwe serious lakini
 
Miaka imenikosesha mke

Hatuwezi kubagain jamani, mbona sisi wa chini ya hapo mnatutenga sasa!
Hamna pesa 😅😅😅 wakati mi ninazo na nina 27 yaani pesa ninayo shida matumizi
 
Mimi ni mwanamke wa Kitanzania nimeajiriwa taasisi ya kiserikali lakini kutokana na kusoma nimechelewa kupata familia nahitaji mwanaume mwenye nia ya kuwa na mke asiwe mume wa mtu asiwe chini ya miaka 34 awe over 34.

Asante
Kila la kheri.......
but hapa usikate tamaa unaweza ukakutana na kina Rickyboy wazee wa kula matunda kimasikhara.....
usikate tamaa endelea kupambana
 
Back
Top Bottom