Mwanaume mwenye wivu unaishi naye vipi?

najaribu kujibu hiyo ๐Ÿ‘†

mpe papuchi bila masharti.
Usimuombe pesa(aka mizinga)simu isiharibike ghafla,nywele zisifumuke ghafla,usidaiwe kid ya nyumba ghafla..na mengine yafananayo na hayo.

Inasemekana lakini

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚duh
 
wanaume wenye wivu hupenda mwanamke muwazi asietengeneza mazingira tata kwenye mahusiano/ndoa, mweke wazi jambo lolote unalohisi usipomwambia then akalijua litaleta utata na kupelekea ugomvi
Siku moja nlikua naongea na simu isiku afu yeye akapiga kama mara mbili hivi bado nlikua natumika alikasirika sana yani sanaa ila nilikua naongea na rafiki ang๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ
 
Hanipigi ila ananuna mno
Hataki hata niwe nawasiliana na wateja wangu especially wakiume hata mchana yani
 
Naona umeachiwa sasa..haya hujambo.
Naomba unionee wivu tasavali
 
najaribu kujibu hiyo ๐Ÿ‘†

mpe papuchi bila masharti.
Usimuombe pesa(aka mizinga)simu isiharibike ghafla,nywele zisifumuke ghafla,usidaiwe kid ya nyumba ghafla..na mengine yafananayo na hayo.

Inasemekana lakini
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Habari.

Uzi huo unajieleza nipendi mbinu za kuishi na mwanaume mwenye wivu na pia ni jinsi gani utamfanyia mwanaume wako ili azidi kukupenda?
Muwahi mapema. Umwambie ww unawifu wa kupindukia . Ngoma itakua droo. Akimwaga ugali ww mwaga mboga !!! Atalazimika kukuheshimu mapenzi yenyu yatakua mubashar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ