Mwanaume mwenye wivu unaishi naye vipi?

Ni kweli kabisa. Ukimheshimu Mwanamume Ni kwa faida yako wewe Mwanamke. Tupunguze ujuaji.... !!! Mapenzi Matamu Jamani. Kupendwa Rahaaaaaa😄 Napendwa Mieeee😂
Eeh ukitulizana unakula mema ya nchi ila ukijifanya joyce kiria utapokea kichapo tu cha kibaharia.
 
Wivu ni dalili ya kupenda kwa hakika 😂😂😂 ukiona huna wivu kwa mwanamke wako jua hujapenda
 
Ni kweli kabisa. Ukimheshimu Mwanamume Ni kwa faida yako wewe Mwanamke. Tupunguze ujuaji.... !!! Mapenzi Matamu Jamani. Kupendwa Rahaaaaaa😄 Napendwa Mieeee😂
Kinachotugharimu siku hizi wanawake tuliowengi tu nataka haki sawa na wanaume kitu ambacho haiwezekani..

Kuleta ujuaji mwingi na kutaka kushindana na wanaume ndipo upotevu wa adabu huibuka.hatutaki kukaa kwenye nafasi zetu🙁🙁

Huu utandawazi umekuja na mambo mabovu sana.wanaume tutaendeleakuwaheshimu ili kupata furaha na amani ya moyoni.

Hazibandi tubii we njoo tu kazi yangu ni kukutii na kukuheshimu hakuna namna.najua kwenye kukutii na kukuheshimu ndani yake inakuja na ya kutolea😎🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂
 
Wewe ni kisanga basta sikutaki 😆😆😆😆😆

Ila unaonekana wewe ni yule Leta miyeyusho nikuzibue😁😁😁mwandiko wako unasema hivyo
 
Wewe ni kisanga basta sikutaki 😆😆😆😆😆

Ila unaonekana wewe ni yule Leta miyeyusho nikuzibue😁😁😁mwandiko wako unasema hivyo
Hamna bana lips denda 😍 mi napenda mwanamke anayejielewa yeye ni mwanamke kiakili na kimwili.

Nikipenda nakuwa full charge, sipendelei mwanamke kidomo domo au mjuaji mjuaji. Mwanamke awe tender and loving na mtu wa kunikirimu vyema na kunipa nafasi ya ku exercise character za kiume.
 
Kumbe ndivyo ulivyo basta..Ohoo hakyanani tena nakuja kukudanga😅😅kumbe shida ni kukuheshimu Na kukutii...😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝😝
 
Toka roho itake kuacha mwili nimeachana na habari za wivu kabisa-yule mwanamke kidogo aniue kwa mambo aliyoyafanya. Kuizoea ile hali ilinichukua zaidi ya mwaka na mpaka leo sijapona na kuwa na wivu sitaki tena wala kuingia kwa miguu miwili kwa MTU.
 
Wewe ni kisanga basta sikutaki [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Ila unaonekana wewe ni yule Leta miyeyusho nikuzibue[emoji16][emoji16][emoji16]mwandiko wako unasema hivyo

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Toka roho itake kuacha mwili nimeachana na habari za wivu kabisa-yule mwanamke kidogo aniue kwa mambo aliyoyafanya. Kuizoea ile hali ilinichukua zaidi ya mwaka na mpaka leo sijapona na kuwa na wivu sitaki tena wala kuingia kwa miguu miwili kwa MTU.
Umepata PTSD. Hahaha!
 
No3 imenigusa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…