hapana wivu sio upendo ni hali ya kutokujiamin upendo ni kindly while wivu ni hashly na insecurity
ni sawa na mtu akipatwa na tatizo,wengine huchukua hatua ya kuongea kila mahali akihisi atapata msaada na mwingine anapambana nayo kimya kimya akiamini atapata suluhu siku moja, na wengi mtakubaliana na mm kwamba sio kila tatizo ni la kuongea kila mahali, uenda angetuliza akili yake angepata suluhu which is kindly
tutafute pesa ndugu zangu haya mambo ya kua na wivu kupitiliza yanakukosesha fursa
Sent from my Infinix NOTE 3 using
JamiiForums mobile app