Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,672
Mengine haya tuachane nayo tu mkuuMahusiano yaliyosalia ni ya kimataifa.
Stress za yule shangazi wa Kimara korogwe zitakumaliza kijana wangu.Wajomba!
Mahusiano yamekuwa kama ajira kwa wanawake sababu wanaingia kuvuna vitu viwili kama sio
1. Pesa
2. Furaha na yako yote
Bwana eeh hapo juu hakuna chochote cha maana we kama vipi NUNUA TU NYAMA YAKO PIGA PITA HIVI hayo mengine tuyaache.
ukishindwa mahusiano NUNUA kula pita hivi
AhaaaWajomba!

πVijana badili hobbie, stress zisije wamaliza
Wasitafute sababu!!Mna agenda gani nyie viumbe!! Kuuuuutwa kawananga wanawake. Si muoane tu kimya kimya bila kutupigia kelele!
Am outππππMahusiano yaliyosalia ni ya kimataifa.
Si ndio! Wasijifanye kutengeneza mazingira bwana.Wasitafute sababu!!