Mwanaume mwenzangu ipi hapa unaweza kumnunulia mke/mpenzi umpendae?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Vidume wenzangu eeehh, wake/ wapenzi wetu ni mapambo yetu, ndio maana wanatumia gharama nyingi nyingi kujieremba ili watuvutie sisi.

Sasa kwa sisi ambao tuna wake/wapenzi ni jukumu letu kuhakikisha wanapendeza, kiujumla mimi mke wangu hata nikimpa million nikimwambia nenda shopping, ataniletea maronyaronya kisha ataniambia pesa imekwisha.

Sasa baada ya kugundua hilo huwa nashika mkono namwambia mama twende mguu kwa mguu, anachagua kisha nalipa yunarudi ma home.

Sasa nimekuja na challenge, kati hizo bidhaa hapo chini ni ipi unaweza kumnunulia umpenda?

 
Toto la kizaramo anaridhika na nusu debe yake ya shanga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…