Mwanaume mwenzio kukwambia weekend hii nikutoe out ni sahihi?

Mbona kawaida mkuu masela kila cku tunatoana tatizo ukiwa una ela mwanao hana ndio uache kwenda nae kula bata ?
 
Haya mazoea sijawah ruhusu, na nafanya Kaz za wanaume,
 
Ndiyooo mbona huwa tunatoana out labda wewehujui maana yake
 
Acha mawazo ya kijinga.
 
Ni mawazo ya kijinga tu, sasa unachoogopa uyo mshkaji wako atakushikisha ukuta? na hata kama dhamira yake ikiwa ni iyo wewe hautaweza kukataa?

Haya mambo tunayakuza tu kutokana na kampeni za upinde kuenea. Miaka ya nyuma kidogo tulikua tunaangalia ze comedy familia nzima joti alikua anaigiza kama mwanamke au mpemba fulani laini laini anarembua macho na tulikua tunaona burudani ila ukiigiza ivyo sasa hivi utaambiwa shoga.

Ni stereotype za kijinga tu.
 
Kwa sababu sijawahi ambiwa na Nina miaka mingi mzigoni. Na sio kwamba hatuendi kula Bata Huwa tunaenda ila sio kutoana out
Sawa, hapa unaeleweka. Sasa kwanini kutolewa out liwe neno lenye uzito ilihali huwa mnaambiana mazito zaidi?
 
Ninyi mnao Angalia wakina joti sawa kwangu Mimi kanikosea adabu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…