Mwanaume mwenzio kukwambia weekend hii nikutoe out ni sahihi?

Kwaiyo unachoogopa ni nini ili tukusaidie ushauri
 
Juzi nilikuwa nimekaa bar moja nasogeza masaa wakaja jamaa wawili kaunta wakanunua Dompo 1, wakatafuta meza wakawa wanaipiga mande wawili.

Nilishangaa sana, wanaume mna share vipi wine.

Nikasema any way labda wapo date, maana mji mpana huu.
 
Mkuu huyu jamaangu kanipa uwalakin mkubwa sana. Sina shida na out yake
 
Yaani kuambiwa unaliwa si tatizo ni usela tu ila kuambiwa nikutoe out tayari ni tatizo.

Mm ninachoona usela umezidi mmeanza kuyaamini mnayoambiana.
Hata mie nimeshangaa hapo, khaaaah
 
Reactions: Tsh
Yaan ninapochoka mie hapo tyuuh, kuwa mtu km hutaki ushoga si unabaki huko kwenye u straight, kwan lazima. Aaaah.
Maana watu wana fikra za kiwaki kweliii.
 
Juzi nilikuwa nimekaa bar moja nasogeza masaa wakaja jamaa wawili kaunta wakanunua Dompo 1, wakatafuta meza wakawa wanaipiga mande wawili.

Nilishangaa sana, wanaume mna share vipi wine.

Nikasema any way labda wapo date, maana mji mpana huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu mtakufa mmechokaa ujue. Khaaah
 
uko tu in
Upo tu insecure tu bro!!
kwaiyo isingekua mkeo kusikia unatolewa out usinge jali……
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…