Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Sasa baba yangu kafa na angekuwepo angekupiga miti hadi uzimie na kudanga ni mamaako ndio anadanga ndio maana umeadhirika kwenye akili unajua kudanga tu
Hapana huwezi kunisingizia uongoo mie ukiwa mchokozi tunachafuana tu hadi uchoke .Nilikuwa naona wanakuonea wanao kutukana kumbe unataka mwenyewe
Hapana huwezi kunisingizia uongoo mie ukiwa mchokozi tunachafuana tu hadi uchoke .
Mie nataka maisha ya utani kwani ulivyoambiwa sikweeli unasema uongo mbwa ni watatu majina manne
Mie sio mmeru na ujue plz nipo nakibabu changuBasi yaishe mimi huwa sipendi ukorofu hasa na wameru
Tulia Basi, usipende ugomvi sawa bibie.Mie sio mmeru na ujue plz nipo nakibabu changu
[emoji2][emoji2][emoji2]We kula unachokipenda tu. Huo ugali wa dona watu walikula tu kwasababu ya shida sio kwasababu ndio chakula bora. Unga wa dona manake ni unga wa msaada (donor) ulioletwa kipindi cha njaa ili tujaze matumbo haraka. Hakuna mtu aliesema ni mzuri kwa afya ya binadamu.
Nitafutie hizo inchi zipo ngapi afrika. Hatuongelei ulaya.Tafuta furaha yako kwanza.
maisha yetu madogo na yamejaa taabu. kama chips ni tamu kwanini usile.
Somo la chakula ni primary. kuna nchi nyingi hawatumii ugali so wao inakuwaje?
So kwa hayo yote uliyojifunza ila bado haujajiuliza kati ya mzungu na mwafrika ni nani ana mwili imara sana inapokuja swala la afya.Mkuu tulizaliwa tukakaririshwa hivyo sikatai.
Lakini tuliposoma na kuelimika, tukaja gundua kuwa kumbe mahindi (maize meal), yawe ni unga wa sembe ama dona ndiyo chakula chenye thamani ya chini kabisa kuliko vyote katika vyakula vya mazao ya nafaka!
"Food value" ya mahindi hailingani na ngano, mchele, mtama ama uwele.
Na pia hauwezi kulinganisha na vyakula vya mizizi kama mihogo na viazi.
Kwa wazungu huko, mazao ya mahindi ni chakula cha mifugo kuanzia majani na mbegu zake.
Kabla ulimwengu haujastaarabika, kwao mahindi kilikuwa pia ni chakula cha watumwa.
Tukitaka kusifia milo, basi tuchunguze kwanza ni chakula gani tunachoweza kutoka nacho hadharani na kujikisifia kutumia.
Mi nadhani mtu anayekula wali ama chapati ana gain more energy kuliko anayekula ugali.
Ugali kiuhalisia ni chakula cha chini sana na hakina thamani yoyote katika afya ya binadamu.
Kuna baadhi ya nchi hawaelewi kabisa stori za kitu kinachoitwa ugali na wako strong sana ki afya na wanatuzidi wala ugali!
Hapa tunaongelea "food value" na siyo "immune" ya mtu.So kwa hayo yote uliyojifunza ila bado haujajiuliza kati ya mzungu na mwafrika ni nani ana mwili imara sana inapokuja swala la afya.
Huoni wazungu mafua tu wanalazwa hospital na drips juu. Sisi waafrika mafua tutapiga chafya mbili tatu na tunaamka nayo asubuhi tunakwenda nayo kazini na maisha yanakwenda.
Ila wafrika upumbavu wa kujicompare na wazungu sijui kama utatuisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu wakiitwa manyani na masokwe wanapovukwa, eti ubaguzi kumbe ndo ukweli