Kwa mungu au kwa binadamu??Si rizki hao........
Kwa mungu au kwa binadamu??
Wapwazi na mabinamu wa kweli! Niwieni radhi nimezama kwenye jukwaa la Siasa na Uchanguzi kwa maslahi ya taifa na kizazi kijacho. Nimeamua kurudi kwa muda nyumbani. Nisaidieni hivi kwanini baadhi ya wanaume wanapenda kucheka cheka bila hata sababu ya msingi? Una mpa issue ya maana kwanza yeye anacheka na kujichekesha hili ni tatizo ama kitu gani? Je ni turufu kwenye kujenga mahusiano na warembo wadada?
Msaada!
Hapana kiongozi ! Natatizwa na baadhi ya wanaume hata ukimsalimu anakuwa anacheka cheka......umesoma hapo juu mkienda nao kukojoa basi watakuchungulia na kucheka cheka lol!
Masa... unamsema nani? si uwe straight tu aisee
Salaam toka pakistani mkuu
Masa... unamsema nani? si uwe straight tu aisee
Salaam toka pakistani mkuu
Wapwazi na mabinamu wa kweli! Niwieni radhi nimezama kwenye jukwaa la Siasa na Uchanguzi kwa maslahi ya taifa na kizazi kijacho. Nimeamua kurudi kwa muda nyumbani. Nisaidieni hivi kwanini baadhi ya wanaume wanapenda kucheka cheka bila hata sababu ya msingi? Una mpa issue ya maana kwanza yeye anacheka na kujichekesha hili ni tatizo ama kitu gani? Je ni turufu kwenye kujenga mahusiano na warembo wadada?
Msaada!
Uwiiiiiiiiih hahahaha changanua zaidi.
Kuna jamaa wakati mpata kilauri, ukinyanyuka tuu kwenda msalani kwa haja ndogo, tayari na yeye yupo nyuma,
Si unajua sehemu ya Adamu mnakuwa mmejipanga kamstari flani
Sasa jamaa na yeye anajifanya kujisaidia huku anachekacheka na macho yote kayaelekeza kwenye fimbo yako
Hii hasara kabisa, haangalii hata anapomwaga maji yake