Mwanaume na Kujichekesha chekesha!

Mwanaume na Kujichekesha chekesha!

ni tabia tu,kiafya inashauriwa kuliko kununa nuna
 
labda ndo fashion mpya ...
maana kila siku kila kitu kinapitwa na wakati.....
 
Mji wa Kabul umehamia Pakistan?????? :doh::doh::doh::doh::doh::doh::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:

Hujapata somo! Mshikaji yeye alikuwa Pakistan na mimi nikiwa Kabul huko Afghanistan.
 
Dunia ya leo kila step unayopiga unatakiwa uwe mwangalifu sana. Kuna jamaa yangu papala zake za kuopoa mzungu, akajikuta anaishia na sijui wanaitwa transexual wale akajuta mpaka akatia huruma.
 
Back
Top Bottom