Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
wenzako walikuwa wanasema hivyo hivyo!!yaani hiyo siku mtu anyanyue mkono wake anipige ................duh lazima ndo asahau kama kuna mwanamke mimi! no stop hadi polisi. lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wenzako walikuwa wanasema hivyo hivyo!!yaani hiyo siku mtu anyanyue mkono wake anipige ................duh lazima ndo asahau kama kuna mwanamke mimi! no stop hadi polisi. lol
Good point, ndo maana mi narudi home kulala tu!!NAMSHUKURU mUNGU SIPENDI MAKELELE NA MWENZANGU ANAJUA HILO! SASA NAWE KAMA MWENZIO KAWA VUVUZELA SI UONDOKE HAPO USIMSIKILIZE?
hahahaaa!!!!Kuna mdada alikuwa anapigwa kila siku na mumewe siku moja akamlia timing akamg'ata dudu yake nusu amuue halafu akakimbia he! halafu baada ya wiki kadhaa tukaona wamerudiana duh! me nayashangaa mapenzi Looh!
duuUYO si mwanaume wewe.pls usichanganye wanaume na wenye jinsia ya kiume!!!!
u dont nid to fight to be a real man
a real man is upon upstairs n datermined by his action
1.kndnes
2.care
3.advisor,director . contoroler towards makubaliano kati yake na mkewe katika kuliimarisha pendo lao
lakin uyo anayejifanya fransis cheka daily anakufumua mmh nakataa bwana uyo si mwanaume ni mfano wa binadamu mwenye jinsia
wenzako walikuwa wanasema hivyo hivyo!!
Naona Vina vimetulia.....Walevi ndio zao kukunjia ngumi wake zao.
yaani hiyo siku mtu anyanyue mkono wake anipige ................duh lazima ndo asahau kama kuna mwanamke mimi! No stop hadi polisi. Lol
wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......
baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....
Nimesahau miwani yangu!!emergency.......shida kwisha...........kachoka.........wenzangu wepi?
mimi kuna mwanamme once alikuja kwangu akasema katokewa na emergency kubwa sana (nahisi alidanganya), mara namwambia haya shida yako imeshaisha can u go plz nataka kufanya shughuli zangu unananiwekea kiza................ati kachoka bora abaki hapo usiku na hataki kuondoka, na viatu kavua kajilaza juu ya kochi. aaa nilimpigia simu polisi tu taratiiiiiiiiiiiiiibu wala sikupata pressure. 😀
Kama una-mwanamke wa hivyo, huyo ni sawa na gari amablo kila siku lazima lipelekwe gereji............achana na mwanamke wa hivyo. I know wapo wanawake ambao wanaweza kukufanya uuwe bure!! likewise wanaume in that matter.wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......
baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....
Mkuu can't put it more right...a slap sticks in her memory than a million words.....i have never slapped my woman though.....slap, sio mangumi!! naomba nieleweke - kama ilivyo tofauti kati ya kumpiga mtoto na kumchapa mtoto. (there is a certain discipline that need to be instilled into ya women, you know?!!, especially when you forgot your Godly role in the house)
wanawake wa humu ndani kwa unafiki.....hamjambo...
wengi mnapigwa na mnavumilia.ila mkija hapa mnajishebedua......
baadhi ya wanawake hawaendi bila kupigwa.....
wenzako walikuwa wanasema hivyo hivyo!!
Harafu ikawaje ?