Kristonsia Nkya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 302
- 292
Umemaliza. Thread closed!Mwanaume ni mtu anayempa mpenzi wake kila kitu
Kabisa sema umesahau maneno "amsaidie kubeba" hapo mwishoni.Mwanaume ni mtu anayempa mpenzi wake kila kitu
Haijafungwa bhana amesahau haya maneno "amsaidie kubeba" hapo mwishoni.Umemaliza. Thread closed!
Kama hana mpenzi je?Mwanaume ni mtu anayempa mpenzi wake kila kitu