Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Salaam jamiiforum hope my wazima.
Jamani maisha ndiyo haya haya,utake usitake bado utaishi kwenye mfumo wa maisha ya watu wengi. Ukijipata kidogo kimaisha ukawa na uwezo fulani basi umetengeneza vita na uhasama
Leo niongelee hii kadhia ya wazazi kuhisi wana haki Kula matunda ya kijana wao (yaani wewe) na mara nyingi familia za kimaskini ndizo zenye hizi changamoto hizi
Kwanza,
Wamekuzaa ,wamekukuza,na kukusomesha,hivyo wanahisi Wana haki ya lazima,yaani unapaswa kuwasaidia.
Lakini pili mke naye kujiona ni mwenye haki kuliko wazazi wako.kuna vitu anavikumbuka na kuviorodhesha na kuhisi yeye ni mwenye haki kwako,anaweza kukupangia Mshahara,na mipango yako iweje,wapo ambao ukilegea Sana unaweza kusagau wazazi wako.
Je ,nini kifanyike, kubalance mambo ili usionekane wewe ni boya au umelishwa limbwata,au mke kuhisi humpendi?
Toa maoni yako mwanabodi.
Karibu.